Nyayo Estate Residents with an option to use the Expressway using Public Means

Niaje Kinara?

Route managers wa Hapo Gitaru ni kama watakapitia juu ya interchange.

Hata wasee wa ngariuro wamefukuzwa na barabara. Alafu mitura Labda uende mbali sana, alafu samosa ni moto wa kuotea mbali.

Kuna an actual Fisi iliangamia Hapo zambo, so sijui itakua aje.

Weekend nipate Kahuho.

Nitakua na spade na tisho imeandikwa Gigabit speeds.
sawa
FB_IMG_1724331453309.jpg
 
Back
Top