NTV becomes the official free-to-air broadcast partner of the NBA in Kenya

mzeiya

Elder Lister
Shida tu ni ile masaa hizo games huchezwa.
1614938671451.png
 
who still watches NBA
wakati naamka kugurumisha msedes saa tisa ya usiku ndio ijaze pressure ndio NBA inaendelea at hesgoal.com
nikiondoka saa kumi after curfew kuisha kant watch this thing
alafu hakuna stars kaa Jordan
reke nemwo
 
Hapo sawa, lakini wanaonyesha game zote ama ni selected za National TV ndio zitaonyeshwa?
 
who still watches NBA
wakati naamka kugurumisha msedes saa tisa ya usiku ndio ijaze pressure ndio NBA inaendelea at hesgoal.com
nikiondoka saa kumi after curfew kuisha kant watch this thing
alafu hakuna stars kaa Jordan
reke nemwo

Think they will have repeat programs .
At one time I was crazy in BB and lawn tennis.
 
Back
Top