Johny walker
Senior Lister
Contractor fulani walalo wanajiita aman contractors p.o box mandera walianza about 5 months ago.First ni kuchimba the whole stretch 5 ft deep coz hii area yote ni reffilled quaries mixed with cotton soil.most flats here ni kutegwa as they call it,coz huezi fikia the actual ground.That its supposed to be upgraded to bitumen status is a good thing but now jamaa alitoroka bana.Kuna mawe zingine size ya vitz ameacha ivo.wenye hawakutoa gari zao,hawajawai zitumia.wenye walitoa hazijawai kanyanga home.Now its double tragedy for majority coz actually hii ndio ilikua panya route ya kuhepa hio jam hukua