Hizi Noah huwa nimeziogopa, wacha ningoje Hiace ijae tuanze safari. Kwanza iyo stretch ya Naivasha-Gilgil ii watu na kata funua wanaeza kurusha pambaya.
That music nikama wanambiwa musiki wa mwisho .Lets be honest, without impatient Kenyans who want to rush from one point to another hizo voxy hazingekuwa kwa biashara , ziko na customers wao.Noah, Voxy, Probox, Succeed, the evil quartet!
Note how @Meria stoically drove on. I can fully understand.
That music nikama wanambiwa musiki wa mwisho .Lets be honest, without impatient Kenyans who want to rush from one point to another hizo voxy hazingekuwa kwa biashara , ziko na customers wao.