Hawaniwezi !Wewe utakuja kula steel wool tuu! Kama kitu kidogo kama a funny celebration inafanya utengwe aanza kujipanga my ften.... Jitoe...
Saa ingine mtu huenda under sieke baharini heshima irudi...wanapiga masimu for one weekNo one is talking to me si pipi , watoto . Even the rats in my house.......Christmas maneno ! Just like Sonko I will not approve the budget ! Nimekataa
Real punishment ! Lakini can subject them to that stress .Saa ingine mtu huenda under sieke baharini heshima irudi...wanapiga masimu for one week
Unarudi after hio kaholiday heshima inarudi
Haukucheza smartI lost the fight .
Was fix ,mambo ilifikia mashinani, one call from the old man ' niletee watoto ,kuna mbuzi nataka kuwachinjia ! ' the tone was a final command. Nilitii ! Christmas budget short double !
Sasa nasikia birthday maneno , the boy child birthday ni leo . Next week schools are opening. Mimi kwisha !