Ya kuwa wale majamaa wanavaa hutu tukofia ni wanati hawafikiriagi vizuri? A good eggzample ni yule dereva wa sitagharamia...alikuwa amevalia ngepa kama hii...
What other kinds of people wear such caps?
Jamaa ame apologize Kwa first lady but Kunguru anakaa ngumu na kuchochea ati Kwa nini ana apologize .Wasikirizaji wa Samidoh huvaa hii ngepa wakiongozwa na @mzeiya
Madhara ya kukamua @Female PerspectiveJamaa ame apologize but Kunguru anakaa ngumu.
Hii miti anapanda Karura ndio itamumaliza .Na vile the singing part of his business was doing good .Madhara ya kukamua @Female Perspective
Ndiye huyo ameishika akiwa na 1st lady
View attachment 31220
ndereva ya unified poa - githurai 45
hako ameshika ni kale kangepa?Ndiye huyo ameishika akiwa na 1st lady
View attachment 31220
Ilikuwa identity ya mungich 2007 -2012 na viatu za CATView attachment 31219
Ya kuwa wale majamaa wanavaa hutu tukofia ni wanati hawafikiriagi vizuri? A good eggzample ni yule dereva wa sitagharamia...alikuwa amevalia ngepa kama hii...
What other kinds of people wear such caps?
Jeshi ya Murang'a sana sana wanazipendaIlikuwa identity ya mungich 2007 -2012 na viatu za CAT
Io kofia ndio engineer @QuadroK4000 huvaa akiwa site kama ameficha fagi ndani