Ni mimi alone ama?

The head honco, CEO mwenyewe. si ata ukijenga nyumba hua unabomoa hapa na pale. tulia turekebishe
images (4).jpeg

duru za kuaminika zinasema head honcho ni huyo
 
Leo naona ni kama kuna NVs wengi wamejoin. Not that I don't like wageni but wamekam wengi at once.

Anyway, we are 1,000+ members now.

Kijiji ina grow mos mos without mambo ya kusalimiana na kuulizana nani amekamua hii.

Hadi mzee wa Ivory coast anaweka mature content here.

The content is good. Hakuna kutukanana. Debates are very mature
bytha group bado inakua biggy
 
Back
Top