QuadroK4000
Elder Lister
Speed governor hua inanyongea hapo kwa msedes ikifika 80
Hizo msedes zenu zingine hazina speed limiters. Kuna siku nikienda pwani na Laface.... Msedes ilitupita pale McKinnon at a speed like it was preparing for a take off. It was at 03:00 am... Na ikapotelea huko into the horizon.
Nilikua nimekaa hapo kwa VIP so I know what I am talking about