Nduthi Gang

mzeiya

Elder Lister
There's been a huge increase in bodaboda related muggings and other forms of crimes. Something needs to be urgently done. Naona sasa wamefika suburbs za cool kids.

 
Kwani hio estate haina watchman? Hawajui nani anaingia na nani anatoka. Ama hio nyumba iko kwa barabara adjacent. Theyshould just improve gate security.
 
wacha kutupisha watu mbao. ile siku utatembea na kisu ndio msako itakua inafanyika, utaambia nini watu? Then again, huyo jamaa wa suti alikuwa na time kweli ya kujidefend hata kama anekua amebeba glock?
Uko Nairobi na unatembes ni kama uko kwako? nah, mimi huwa always na kisu, ntakufyeka throat once you approach me in suspicious clothing
 
Watchmen wako lakini jamaa ametembea kutoka kawangware ndio aingie kazi saa mbili unaexpect awe alert ya ku respond kwa majamaa wameshuka tu kwa nduthi na kupora jamaa? Hata soja wakati ametokea umeona kama ametokea na hata kirungu?
Ni Watchman wa kampuni gani huingia kazini saa mbili?
 
Back
Top