2009 my late friend alikua na Peugeot 504 na wipers zilikua haziwork. Tukienda dunda alafu mvua ianze kunyesha, alikua anasuggest tununue omo tumwagilie windscreen
kuna time pia nimeenda hepi na hii gari... time ya kwenda home maboyz wangu walikuwa watu wa masubaru na kelele, they drove off..
mimi kwenda kwa my lion of judah.. ikakataa kuguruma.. bouncer hataki kunisaidia kuskuma.. nikarudi ndani ya club nikaenda kwa dj.. msee wa power sana aka announce club mzima.. wasee walitokea wengi sana kunisaidia.. hata nikapata kadamsel