mbona @Pamba 1 amemshika mkono romantically hivi?
Nobody knowsSasa huyu ataenda nyumbani hifyo![]()
It's a long story that I can't say right now in my current mental state. I need to be stable first.... though @Pamba 1 thank you kwa kunitolea aibu.. ningejificha kwa kichaka hadi usiku were it not your encouragement. Hiyo mwanamke haikuwa mchezo. Hadi aka rarua nguo!!@Abba what happened ?View attachment 31299
@Abba what happened ?View attachment 31299
Huyu D- nikama alishine na kuomoka na 2 m ya malala clip imekataa @Meria saidia nilituma huko vip.
Early Easter.
Mdau letea elders whitecupEarly Easter.
Nasikia wakisema lima hio gari ya Toto? Kwani huyo mkora Toto alikuwa kwa hio fujo?