Very similar to slayqueens stunts. Wakivuma hawasemeshwi, wakizeeka, misemo na filosofia zaidi..I love to see somethings one day you're a top dog chest thumping all over the next day you're a philosopher.
unaingia kwa moto kwani wewe ni mjinga namna gani? Hata mimi ssiwezi jaribu kukutoa!Kenyans are very bad,,wanakujoja uingie kw moto ukianza kuwaka wanatoroka.
I think you didn't get what i was trying to sayunaingia kwa moto kwani wewe ni mjinga namna gani? Hata mimi ssiwezi jaribu kukutoa!
Yes, because even your spelling is off.I think you didn't get what i was trying to say
you are complaining about spelling everywhere,,,we ni mwalimu wa nini?Yes, because even your spelling is off.
Wa primary. Lakini ulimaanisha nini kwa hiyo sentensi ya moto?we ni mwalimu wa nini?
I meant kenyans walijoja sonko hdi akajiona yeye ndo kusema huku,,,sai hana kitu,wakenya ata hawamwongelei.Wa primary. Lakini ulimaanisha nini kwa hiyo sentensi ya moto?
Oooh, ulimaanisha kuchocha? Nimekuelewa sasa.I meant kenyans walijoja sonko hdi akajiona yeye ndo kusema huku
yeahOooh, ulimaanisha kuchocha? Nimekuelewa sasa.