Mazematics ya kuuza mayai boilo

mzeiya

Elder Lister
Kulingana na this fella, jamaa wa mayai ana-make 360K monthly.



Wadau hiyo hesabu ina-make sense kweli ama that is a story of giants?
1615047265034.png

Also, how come smokie na ata mayai pasua kejani huwa si tamu kama ya street?
1615047274615.png
 
kusema inakaa rahisi jaribu ndo utatambua reality.We tried once with my friend in Eldoret some years back, by jioni tulikuwa tumeuza yai moja pekeyake na ingine mbili kwa deni,am telling you tuligive up na tukakula yote tukamaliza pekeyetu kw nyumba.
Hii hekaya tunaweza tohoa lessons kadhaa;
  1. Biashara inahitaji uvumilivu ambayo hamkuwa nayo
  2. Eldoret ni kama ingekuwa better muuze mursik
  3. Deni ni adui wa biashara
  4. Ni possible kula mayai mengi na kutokufa. Labda tu hewa ndio yaweza haribika
  5. Kila jambo huwa na mafunzo yake
 
Back
Top