Matatu roadtrip to Vasha ends in premium tears

Hio hasara si kubwa vile huyo madam anaimagine. Hao commentors kwa hio thread pia ni novices. Unless iwe the goons vandalised other hardwares huko ndani, hio gari mimi naona imevunjwa vioo pekee yake. At most hio hasara can't exceed 40k. Ingekua worse kama ingechomwa kiberiti! My opinion.
 
Hio hata si damage ya half a mil, again the investment on the ganya should be around 7m as the guy who replied to the tweet, suggested.
 
Back
Top