Man U watapata kichapo ata wakiwa na Penaldo

Ni kama Cystal Palace itang'oa Totte from top of the table.

Halafu niko torn kama nione game ya grasshoppers waki-enjoyiwa na Norwich, Ronaldo's second debut au City na Leista which promises to be a cracker of a game.
 
Penaldo situnajua zake.
Lazima atafutiwe moja
 
@Denis Young na watu yake ya Kiburi FC leo naona watahakisha hatuna amani
eed967cc741b4b8697ca26d8bc3b9ead.jpg
 
Grasshoppers wamefunga kabao - the first of the season.

Edit: And with that solitary goal they shot up to 15th temporarily before settling at 16th on the table while Norwich plummeted to take Arsenal's erstwhile place the bottom!
 
Last edited:
Back
Top