Makofi kwa D-. Rogue driver iko ndani

Meria

Elder Lister
Jamaa wa kuvunja windscreen ya wenyewe sasa ako mikononi mwa sheria hapa Thika.
IMG_20210227_144251_702.jpg
IMG_20210227_144255_426.jpg

Naomba koti on Monday ifunge yeye 10yrs kavu ili iwe funzo kwa wengine.
Pole kwa investor.
Gari yake has been impounded too.
@Aviator acha ku employ mental cases
 
Hawa watu wa ma3 huwa naona ni kama actual whipping tu ndio itawasaidia kupunguza ujinga, acha tuone charges (and hopefully conviction) before tusherehekee sana.

On a lighter note @Meria kuna mtu amepost hizi picha with the exact words you've used kwa 1st sentence on a whatsapp group I'm in..sijui ni plagiarism ama ni wewe?
 
Back
Top