Mai Mahiu Flood Victims 8 Months Later

Baada ya zile floods, kasongo alienda huko na muhahe and promised them atawajengea upya mpaka akaomba nao. KTN wamefika huko wakagundua kumbe it was nothing but hot air. Baada ya kasongo kuondoka ilikuwa mwisho ya hio hekaya na wakatupwa kwa dustbin la sahau. Na tukisema kasongo ni muongo abductions ndio zinakuwa the order of the day, halafu mkumbuke kuna anus lickers kama @poop in and out na @Denis Young amongst us
 
Back
Top