This is informal. Sanifu should beIn Kiswahili, 22,000 I know is phrased as 'elfu ishirini na mbili'. How would properly phrase 20,002 in Kiswahili sanifu? Nisaidieni tafadhali. Meria, njoo hapa mbio-mbio!
swadaktaelfu ishirini, na mbili.. kwa mfano..
ng'ombe elfu ishirini na mbili.. 22,000
ng'ombe elefu ishirini, na wawili 20,002
unajaribu kusema nimefanya direct transleshen kutoka lugha ya mama?swahili
hapana, autocorrect ndio mangaaunajaribu kusema nimefanya direct transleshen kutoka lugha ya mama?
Autocorrect na wewe ni pararell lineshapana, autocorrect ndio mangaa
nilikua nasema swdakta
Shadau...where is your answer?swadakta
What of 22,022?elfu ishirini, na mbili.. kwa mfano..
ng'ombe elfu ishirini na mbili.. 22,000
ng'ombe elefu ishirini, na wawili 20,002
Ishirini na mbili elfu, na ishirini na mbiliWhat of 22,022?
WrongIshirini na mbili elfu, na ishirini na mbili
Si amesema swadkta,wewe ni mtu aina gani?Shadau...where is your answer?
Swadkta was his answer?Si amesema swadkta,wewe ni mtu aina gani?
Maybe, whateverSwadkta was his answer?
Nanii nini mbaya? You are soo touchy prickly...Maybe, whatever
You know what is affecting him?Nanii nini mbaya? You are soo touchy prickly...