#LukakuOut

JazzMan

Elder Lister
Hehehe, mdomo mingi akasahau Tuchel ni kichwa maji



Chelsea fans pia hawajambembeleza...



Sasa shida ni haijulikani kama Werner na Havertz are fit to start. This decision might be costly. Ni kusubiri tuone.
 
Back
Top