Local 'diasporans' wajionee vile watu wanaishi

Sipendangi kuskia mzungu aki narrate story za Africa hatakama sisi ni shit hole ii wanajamaa wanapenda ku exaggerate.
Ndio napenda sana pale bbc Africa eye, Isipokua kenyan journos wamechoma picha jo. Kuna ya nightrunners (cringeworthy), kuna ya jane mugo (embarrassing), baby stealers (unproffesional very)...

Kwa baby stealers, bibi ya boniface mwangi alifanya about stolen Children. They came across a stolen todler and they didnt save him/her. Meffi sana.

Contrast with a certain one of ivory coast, the journalist happened upon 2 traficked prostitutes, and he pulled all stops to repatriate them back to their families.
 
Back
Top