Liquid Friday- Effects za Pombe Kufuguliwo

upepo

Elder Lister
Mzeiya ako karibu kutuwekea ID yake na ya bibi, Scumbag ameanza kufikiria, FP halipishi leo-bora chakula, 4X4 imelala chali huko escarpment, Gashwin ana-hug kila mtu kijiji ya MCAs, Kunguru 001 ako na temperature ya moto ya gas, Pamba anajaribu kulog-in na remote ya TV, na yule jamaa ana-claim yuko Katanga tumepata picha yake kutoka Z-corner pale Githurai. Anasema ako critical but stable.

IMG-20200930-WA0040.jpg

***** Updates zinasema icecube amekatalia kwa nyumba ya dogi.
***** More updates- Kuna Tenere imebonda trailer hapo junction ya Athi River alafu ikatoroka. Rider hakuonekana vizuri.
 
Last edited:
Mzeiya ako karibu kutuwekea ID yake na ya bibi, Scumbag ameanza kufikiria, FP halipishi leo-bora chakula, 4X4 imelala chali huko escarpment, Gashwin ana-hug kila mtu kijiji ya MCAs, Kunguru 001 ako na temperature ya moto ya gas, Pamba anajaribu kulog-in na remote ya TV, na yule jamaa ana-claim yuko Katanga tumepata picha yake kutoka Z-corner pale Githurai.
Foreman changaa unakunyia wapi?
 
This is good stuff on a Friday. Aacha tungoje kesho wakitoa lock.
 
Back
Top