Mwalimu-G Elder Lister Oct 19, 2021 #1 Inaua nyoka... 0-2 -12th min Mapema kidogo City imenyonga Brugge 1-5.
M Mishale Elder Lister Oct 19, 2021 #2 na wazito hawajafunga bado but mchunge former team mate asikuje kuwauma Attachments 1634671403463.png 19.6 MB · Views: 87
JazzMan Elder Lister Oct 19, 2021 #3 Atletico wamerudisha mkono. 2-2 pale wanda metropolitano. Kuna timu nyingine kutoka EPL imewahi shinda kwa hicho kiwanja isipokuwa Chelsea?
Atletico wamerudisha mkono. 2-2 pale wanda metropolitano. Kuna timu nyingine kutoka EPL imewahi shinda kwa hicho kiwanja isipokuwa Chelsea?
M Mishale Elder Lister Oct 19, 2021 #4 JazzMan said: Atletico wamerudisha mkono. 2-2 pale wanda metropolitano. Kuna timu nyingine kutoka EPL imewahi shinda kwa hicho kiwanja isipokuwa Chelsea? Click to expand... its Greizman vs Liverpool. but either Salah - Mane or Suarez will get the match winner. hakuna. ni Chelsea tuu imeshinda huko
JazzMan said: Atletico wamerudisha mkono. 2-2 pale wanda metropolitano. Kuna timu nyingine kutoka EPL imewahi shinda kwa hicho kiwanja isipokuwa Chelsea? Click to expand... its Greizman vs Liverpool. but either Salah - Mane or Suarez will get the match winner. hakuna. ni Chelsea tuu imeshinda huko