Les Miserables: Fuata comments ...

At the OB pamba wanted my spects...told him achukue lakini tutakaa na yeye hapo OB. In the process,my sandals and belt were not taken. Was given a wide berth in the cell. Even had my own corner. Didn't help matters that I had a packet of cigarettes brought in by another pamba.
But despite all that,that was the longest night ever.
 
I couldn't breathe huko ndani coz it was too hot. @Pamba 1 alinimulika kwa uso as I stood at the door, and through the grills aliona sokwe inatiririka jasho kama maji. He quickly opened the door nikalala hapo kwa nje ya cell. Asubuhi nikarudisha and heard the funniest hekayas ever. Hizo nguo zilinuka mno.
 
Wacha niseme I have been lucky sijawahi lala ndani ya cell. Not because those idiots haven't tried, simply because I know "people". In my short visits, nimekutana na watu huko who did absolutely nothing. Their only crime is to be poor.

That's one thing that pushed me to become a billionaire. My CSR/philanthropy will be to hire lawyers to help set such young men free from clutches of those wolves.
 
Nimewai lala Kayole police station cos ya kuita karao flani crew nikiwa leave na nilikua nimeachilia mandevu and nywele. Kuniweka kwa cruiser nikawashow nitatolewa asubuhi na nduthi(outriders) za auntie yangu Lucy Kibaki, lets say sio mimi nilikua naongea but Iceberg kadhaa. This did not auger well with one of them named Nyakeri alikaniletea mahasira zake za sinyore na kuniweka mabare zile za kukuweka factory reset.
Morning stapol kukuja akasema nitumane C of A, ikaletwa nikatoka but hewarned me not to try "sack" his officers jokingly lakini.
 
Back
Top