Hii form one iko na attitude mingi sana
Nikama uko na hekaya ya kupupu kando ya choo.Ukitaka kujua kweli wee ni mtu mzima, enda poop kando ya shimo ya choo ya plot, utaskia wamama wakinung'unika wakisema " Na hio ma** si ya mtoto ni ya mtu mzima"
Noo, ni vile nimeona yellow beans na spinach nikaona fibre tupu.Nikama uko na hekaya ya kupupu kando ya choo.
Hii form one iko na attitude mingi sana
Kitu imebaki hapa ni nini wazito?
View attachment 22553