Land Rover Kenya

Ngimanene na Muchere

Elder Lister

Kwa nini hawa majamaa hawapei local car reviewers gari for review ama wakae nayo one week kama kule America, ama wanataka twende tukaangalie kwa Doug Demuro. The closest walipea ni Caro wa kiss Toyota Prado, na hajui kuhusu gari
 
Caro si pia alipewa Discovery akagongesha

Ni madharau ile Wandia Njoya huwa anaongelea ndio imekita in some of these industries. Hawawezi pea mtu who is not close to power eti afanye review. Hata wakifanya, huwa wanaenda in a convoy na wanarudisha magari the same day.
 
Kwa nini hawa majamaa hawapei local car reviewers gari for review ama wakae nayo one week kama kule America, ama wanataka twende tukaangalie kwa Doug Demuro. The closest walipea ni Caro wa kiss Toyota Prado, na hajui kuhusu gari

Their target market maybe doesn't rely on YouTube reviews to make the purchase .
Maybe ni Kama wale fanboi wa Apple .
 
Most of these car brands target government purchase and rich chaps.
Madharau yes, youtube reviews seem irrelevant to them in this target market segment.
Toyota, Suzuki seem to believe in influencing purchase through YouTube reviews.
I guess it all cones down to price and target market.
 
Back
Top