QuadroK4000
Elder Lister
It's clear that this car cannot operate at sea level
Tuletee uhondo Wote.
I am sure jana ulikua hizo area za kikambala.
It's clear that this car cannot operate at sea level
Hehe mbona hawaku engage assymetrical 4 wheel drive with limited SD.
Wacha wakule kiburi yao pole pole.
Their JU movie was pretty good tooI used to love their biscuits
I have been in Shelly Beach several times and there is a point where anything that has an engine or motor is restricted or barred going beyond. These guys walikua na kiburi na wakalazimisha kuingia na gari in the restricted areas where no cars/tuktuks/bodabodas beyond point, gari ikakwama, na kama kawaida dere aka engage 4wd, makosa! In such situation, only two wheel drive ndio husaidia plus man power ya kuskuma. But because walikua wameonywa waasingie na gari na wakaringa, watu waliwapea tu jicho, na hivyo ndio walirudi na tuktuk.