Kuna siku nilibarikiwa nikapanda ndege, nilipita na blanket yao. Today it is displayed proudly kwa mancave
Headphones ukawachia nani?Kuna siku nilibarikiwa nikapanda ndege, nilipita na blanket yao. Today it is displayed proudly kwa mancave
Kuna siku nilibarikiwa nikapanda ndege, nilipita na blanket yao. Today it is displayed proudly kwa mancave
Hizo niliogopa wamehesabu. Blanket niliona an extra one that had nobody nikaweka kwa bag haraka harakaHeadphones ukawachia nani?
haha huyo alikwa insider banaenimwahi tembelea mtu I was served tea with kenya airways cups/plates, yaani alikua amebeba cutlery pieces kama zote
Earphones kwa local flights ziko kweli, mimi huwa natafuta kwa KQ sipati niweke kadent ya hizo charges.Headphones ukawachia nani?
I thought ni headphones , earphones ni health risk. And not on local flights .Earphones kwa local flights ziko kweli, mimi huwa natafuta kwa KQ sipati niweke kadent ya hizo charges.
Ni some really poor earphones nowadays unless one is flying Business or 1st class. Kwanza za Emirates and Qatar huwa na jack mbili such that huwezi tumia na other devices.I thought ni headphones , earphones ni health risk. And not on local flights .
Back in the day we - students at UoN - were banned from Serena na most other 5-star establishments. Watu walikuwa wanapita na virtually all branded items - hand towels, cutlery, ash-trays etc etc - kudisplay kwa hostels vile wao huvisit places za maana wakipata boom. Serena kwanza iliumia sana......