JazzMan
Elder Lister
kwa pande zote zinazopigana. Hapa sasa ni propaganda kutoka pande zote mbili ndio zinafanya kazi. Baada ya Tigray kusema wataondoa wapiganaji wao na kuwarudisha katika mipaka ya Tigray, ENDF nao wakasema wataendelea na vita. Hivi leo, haya ndio habari tunayoyapata...
Pande moja inadai kuwa ENDF inasitisha shughuli za vita ili kuwacha nafasi ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili zinazozozana. Lakini, upande mwingine wanasema sababu ni hii...
Nao wataalamu wana haya ya kusema...
Ukweli utatokea upande upi?