Kujeni class kidogo watu wa SACCOs, pension funds and other investors. How Chinese virus will affect you

@shocks manufacturing kenya ni stima ya kuotea mbali. Banking ndio iko pesa hata real estate usiguze for now . Agriculture sio mbaya lakini hizi locusts hazileti shambwe vimbwembwe na nderemo

Agriculture kuna campuni hutrade even 1,000 shares a day? Me huona watu huwa hawauzi hata kidogo. Insurance sio mbaya considering the insured are only less than 5% in Kenya hence big potential
 
Back
Top