Naweza pata backup generator ukiongea vizuriHuku kwetu ina kuja kidogo, ikiwaka ina dim out halafu inapotea another 20 mins.
Peleka generator alafu mtaongea baadaye Mwalimu is a respectable senator .Naweza pata backup generator ukiongea vizuri
Nilisikia hizo vitu nachoma nyumba.Naweza pata backup generator ukiongea vizuri
Kwani wewe ni neighbour. Wamekata sasa. Niko kwa balcony lounging na kikombe ya kahawa.Huku kwetu ina kuja kidogo, ikiwaka ina dim out halafu inapotea another 20 mins.
Looks like a widespread problem. Niko Embu.Kwani wewe ni neighbour. Wamekata sasa. Niko kwa balcony lounging na kikombe ya kahawa.
True. It must be another monkey imeingia kwa generator.Looks like a widespread problem. Niko Embu.
how?Kama wangeanua jana ingekuwa messy na noisy kwangu.