So Wewe ni mwizi wa meter za mradi ? Kitaeleweka ama nanna gani my friend.Hand cuff moja per illegal meter .He he he,ati wanaverify meters, kitaeleweka Kwa slum lord Kama Mimi, Hakuna meter iko na jina na ingine ,Sasa wakizitoa watapeleka wapi?
Sasa meter ni yao,stima ni yao, hio meter natumia tu ndio wanicharge nayoSo Wewe ni mwizi wa meter za mradi ? Kitaeleweka ama nanna gani my friend.
KPLC contractors messed up so many people they were just installing metre za mradi but only for those with big appetite na za mkato.Kuna neighbour hapa murera and metre yake inasoma iko registered to a fellow in Gatundu south.Sasa meter ni yao,stima ni yao, hio meter natumia tu ndio wanicharge nayo
Sasa kutaendaje?KPLC contractors messed up so many people they were just installing metre za mradi but only for those with big appetite na za mkato.Kuna neighbour hapa murera and metre yake inasoma iko registered to a fellow in Gatundu south.
Meter si ni property yao,stima ni yao,sasa wanataka tufanye Nini?Next ni barua ya kufika kortini kujibu mashtaka ya kujaribu kulaghai Kenya power.... Kwisha wewe wakanyake!!
Kaa na lawyer msuuuuri hapa Kwa hapa. Wakinyongea wewe muoto peleka hao kortini.Meter si ni property yao,stima ni yao,sasa wanataka tufanye Nini?
- Hio jela imejaa wanaume
Remember sio Kitu hivihivi, ni 130kgs of pure unadulterated muscles
FiskedRemember sio Kitu hivihivi, ni 130kgs of pure unadulterated mucus and blabber
hapo ni kuwa corrupt kivipi, meter ni zao,na ndio wanatumia kutucharge, wangefanya kitu easy, ile meter inakutwa kwako inakuwa registered afresh na jina yakoWhen we say it's not just politicians are corrupt, wengine mnapinga
My bad. Hadn't gotten that pointmeter ni zao,na ndio wanatumia kutucharge
The big question is how did you get it ?hapo ni kuwa corrupt kivipi, meter ni zao,na ndio wanatumia kutucharge, wangefanya kitu easy, ile meter inakutwa kwako inakuwa registered afresh na jina yako