Karma_mama
Elder Lister
Kwangu ni mapema bado.. Ndio naenda kusaka ingredients..Mpaka sahi hakuna trailer or teasers hata ya kuchop onions? Hapa mtangoja sana
Sijui kwanini I get a feeling @Gio will be a no show

Kwangu ni mapema bado.. Ndio naenda kusaka ingredients..Mpaka sahi hakuna trailer or teasers hata ya kuchop onions? Hapa mtangoja sana
Niko hapa seasons buying my buddies road kukuNdio naenda kiamaiko kusaka mbuzi
Ungeongea vizuri na bae @Mongrel akuletee roadkillsNdio naenda kiamaiko kusaka mbuzi
Isn't it an open secret?So umekubali hio jamaa deals with roadkill
@sally kwani wewe huendi kusaka ingredientsIsn't it an open secret?
Ladies and gentlemen, hustlers and kieleweke, wash wash and legit guys, welcome to Klist cookout competition where 3 listers: @Gio @Karma_mama and @sally will battle for 1000kcr.
The contestants have till 10pm to upload their meals, a paper with the handle name written should accompany the pics for verification purposes. Our Techies @zapp_brannigan and @shocks will be on standby to ensure no one lifts images from Google or Yandex
Let me hand back the pogram to our MC @Okiya
Wapi Ngimanene ama muchere? Ama unakula hii na keki?
Ugali iko ya kisiagiWapi Ngimanene ama muchere? Ama unakula hii na keki?
@Mongrel has gone above and beyond, aged steak reserved for special occasions imetolewo
Sweetie ndio kuland,irio to githeri
That's doctor handwriting !
As adjudicator of the Ngima awards.... Hii kienyu kia ngima iko na ile brown mzuri inavyofaa 2, presentation skills 0, kupasuka katikati 3 for an average Ngima score of 3