Tommyleesparta
New Lister
kuna heka nilipeana sometime back.
nilikuwa kwa matatu nikishuka nikaona simu kwa kiti nikaichukuwa juu hao makanga nilijuwa hawawezi rudisha.
kutoka nayo ilikuwa na unlock pin so sigeweza ku access anything, waited hadi mtu apige simu
simu kupigwa nikamuelezer the caller kuwa nimeokota simu kwa matatu kama unaweza reach the owner anipigiye na my number, nikamuliza kama ako na kalamu andike my number.
mimi nadhani am doing the right thing ati nikipeana simu blessings will follow me
after a while jamaa ikanipigia nikamshow mimi niko based town near posta, kama simu ni yako nitakupatia, after like an hour jamaa ikapiga tena kuwa iko posta,nikamshow nakuja apo...mimi nikaenda vizuri kupatiana simu,nikapataa jamaa mukorino nikamshow nili-ipataa kwa seat ya matatu, jamaa kumpatiya simu niliskia nimeshikwa na kuwekwa pingu na jamaa hazina uniform...hadi central police station
saa iyo ata job sikuwa nimefunga juu nilijuwa ni kitu ya dakika mbili
nikafanywa interrogation na izo mbwa for over 30 mints
nikawauliza kama nili pick pocket si nigekuwa nimezima simu yake na niuzee
karao moja akadai uyu jamaa awachiliwe tu na mzee unafaa kushukuru
mukorino akakuja nilipo ambiwa niende nikamshow wewe ni matako
nikachomoka central nikaingia tuktuk nikarudi job
sitawai jaribu kujifanya mzuri tena nikipataa simu naiwacha tu apo