Jug
Elder Lister
@Mwalimu-G na @JazzMan kujeni kitoko tuongeko. 2 goals in 3 minutes pia nyinyi mnangangana kuchanel your inner Ars...ama wacha tu
After spending £ 200 million? Allegri ama Tuchel watakuja.
Tangu lini kwani tumekuwa arsenal?Don't even start.
Watakuja na pie charts, graphs na analysis mingi sana trying to justify... oooh sijui bla bla.... Oooh yada yada.... Oooh it's a pretty young squad....
Tangu lini kwani tumekuwa arsenal?
Lakini naona Pep pia imebidii ati ile msemo ya Defence win you titles. Ii style of play hatukuwai ona kwa Team yoyote ya PepYaani ni kama training for man city
And there's no striker.Lakini naona Pep pia imebidii ati ile msemo ya Defence win you titles. Ii style of play hatukuwai ona kwa Team yoyote ya Pep
Bayern 3-2 Mainz.Pale Allianz Arena Bayern Mungich(0) pia nao wanaletwa mbio na Mainz(2) first half, wacha tuone ka Mainz watamaintain momentum ama watatupa game