Kiambu County buys 11 phones at Ksh 1.69 million.

hii most probably ni refurbished na ukinunua utalilia choooni.

before buying a phone/electronics, look at prices elsewhere. kama iko cheap kuliko zingine, iko na kasoro. most probably ni refurbished.
Kulingana na wewe bei ya hio simu ni ngapi?
 
Kulingana na wewe bei ya hio simu ni ngapi?
hio 23-25k sio mbaya ni vile nashangaa kwa nini zingine na same specs ni 50k-200k place zingine.

but i guess ni place utanunua ita determine price.
but ukinunua online, check reviews za buyers wengine kwanza.
 
Back
Top