Someone has said that haka ukifika town badala usumbuane na parking unapeana hapo Naivas kwa luggage.
View attachment 23838
Hii unadunga engine ya Suzuki Hayabusa inakuwa wazimu.@Introvert unaweza funga engine ya Scania kwa hii? Ama italipuka?
Hii unadunga engine ya Suzuki Hayabusa inakuwa wazimu.