KAA auctions aeroplanes- Reuters

Baba asipande hiyo scrap buana, murume should support baba na hizo pesa
A Kenyan businessman identified as David Njuguna has reportedly bought three planes from Kenya Airports Authority (KAA); one for ODM Leader Raila Odinga for his campaigns, the second one for personal use and another one for business. KAA had put on auction 73 abandoned planes.
 
Huyo amesema watapatia baba ya wasaliti ndege anajua gharama ya ku-refurbish ndege? Engines tu ni bei ya helicopter, halafu ukumbuke bado ifanyiwe fuselage integrity tests na repairs ndio ikiwa pressurised isiraruke kama ndizi. Hiyo pesa inaweza nunua Pilatus PC-12 mpya.

Na vile baba ya wasiliti ni-mstingy, atachukua hiyo ndege akapark pale Riat Hills wajukuu wakacheze nayo
 
all those people were jokers. The guy was just happy ataonekana kwa TV alikuwa ameenda kununua ndege
 
Back
Top