Signet inasumbua, maybe on other platforms.
Inakaa aje? Ni vile sikuwangi na shughuli na TV sana and the fam is upcountry.Tafuta amplified Antennae and re scan your channels.
Inakaa aje? Ni vile sikuwangi na shughuli na TV sana and the fam is upcountry.
Nimestream kwa simu juu hakuna pub ilikuwa inaonyesha where I am.@Ssabasajja.. Uliipata bro?
Tumeshinda.... A good game it was. Huyo Gabriel ni moto wa kuotea mbali.
Nimestream kwa simu juu hakuna pub ilikuwa inaonyesha where I am.
Where I am (outside Nbi) karau ni watiaji.Mbona pub ikose kuonesha?
Where I am (outside Nbi) karau ni watiaji.
Spot on prediction 3-0 marginAm not an arsenal supporter but am sure tomorrow you guys will win with a very impressive margin.