hawa ma "comrades" wanafaa kunyoroshwa kabisa...most of them actually think they will be students forever.. wacha wamalize wakanyange tarmac ndio wataanza kuheshimu biashara za mama mbogaStudent solidarity is dead in Kenya. There should be a blow-back citizens hawawezi piga comrades hivo. Wanafaa wajiorganize pia wao wawafunze tabia.