X-TRAIL Elder Lister Jan 13, 2020 #1 So January inawapeleka aje Niko kwa local na leo watu wako banA sijui wametoa pesa wapi alafu kamvua ndio hako Last edited: Jan 14, 2020
So January inawapeleka aje Niko kwa local na leo watu wako banA sijui wametoa pesa wapi alafu kamvua ndio hako
It's Me Scumbag Elder Lister Jan 14, 2020 #4 I do not understand nini watu wanasema January in ngumu. Doing the same things I did last month and so far sioni ungumu wowote.
I do not understand nini watu wanasema January in ngumu. Doing the same things I did last month and so far sioni ungumu wowote.