Jug
Elder Lister
Sina ngufu, sina uweso @Liberty omba Baba(hapana ii ya mwosho mmoja) msamaha kwaniaba yangu. @Aviator nipe number ya African Scientists from Kitui nitashukuru sana bora asiitishe kuku ya black na nyoka.
Ushawai park jalopy mahali inafika asubuhi unashanga ulikuwa unapark kwa usingizi, ama ilimea miguu ikaamua kupiga maraundi never to return, ii ndio mikasa ilinipata sasa nafikiria kulisha watu nyasi, mashtaka tutayajibu badaaye.
Mawe najua itarushwa, mlete maoni on various ways to secure a car. Maneno ya Cutout itupiliwe mbali ju ii kitu ilikuwa bypassed(hapa nashuku our resident mekonika
)