It shall end in Tears

Hii nayo ilianza when ndo tujue vile mwosho itakuja.Few weeks ago kuna ingine ilitokea inaitwa HQT ilikuwa ya investment, watu wakainvest mbiombio,one night ikapotelea na doo za watu, watu waliamka kama hiyo website haipatikani tena.Kuna jamaa alisema aliinvite mamake akainvest 30k doo sikaenda hivo.
 
I always say,there's no day mtu ataamka alafu aanze kupea watu doo ati juu umeinvest.Nefa.
 
Back
Top