Gachagwa kwa uso wa hasora hana maana anymore. Amepewa kazi ya kupigana na illicit brews while madvd who is supposed to be his junior anaball mbaya...
Enyewe ni kweli anatusiwa si bure. They know hakuna kitu atashow ma bigwig... Hadi amesema amekubali hasora has power. Sad to be gashagwa at the moment. Thought it was a joke kumbe wanamfinya makende