Ramiran Elder Lister Oct 29, 2020 #22 Mwalimu-G said: Nafikiri shida ni enforcement. Which OCS would supervise the effecting of attachment orders? Click to expand... Kuna OCS wa muthaiga police alitoka kwa offisi akatoroka mbio wataki aliskia lawyers fulani wanakuja kumpatia court orders za kuarrest Philip Moi.
Mwalimu-G said: Nafikiri shida ni enforcement. Which OCS would supervise the effecting of attachment orders? Click to expand... Kuna OCS wa muthaiga police alitoka kwa offisi akatoroka mbio wataki aliskia lawyers fulani wanakuja kumpatia court orders za kuarrest Philip Moi.