Unachukua loan unakata nayo maji pekee yako alafu unaambia mama na watoto wafanye Kazi kwa bidii mlipe hilo deni.1Trirrions debt repayments..... Wapi gavament apologist @Mwalimu-G na @bigDog watuambie kule 30% za County zitatoka
Kenya iko pesa...nimeona nashanga kwani ii cash crunch yenyu tunaambiwa inakuwanga hekayaAti 25 years tax break for British imports..