in the headlines: KPLC in ICU

Meria

Elder Lister
6d64ae0a-4884-4e41-9ba9-6a1aa4bd819e.jpg
EwkrKbvXAAAaLTL.jpg
734033d9-bf93-4b2b-bc21-534f70fb17c7.jpg
97dac689-b06f-4682-a984-0e7775d4e4da.jpg
de448497-5efd-4422-89d8-c0c187f89e25.jpg
4f6289b2-b188-4fe1-b163-2ec541d06cae.jpg
 
This KPLC issue, leaves me with a bitter taste, yaani a company that has been enjoying near monopoly for decades can be brought down by greedy individuals and the corruption is termed as poor policy?! This country is f*cked up in all fronts.
Kengen ndio ilitumiwa kuangamiza ii Kampuni, KPLC ni Network wako nayo ya kusambaza stima. Pesa yote iko Kengen since kuna nugu iliona wanyanganye KPLC rights za kuproduce stima. Sai wananunua stima kutoka kwa Kengen.

Mzee inafaa alinde boma otherwise ii vijana watageuza Serikal wakuache ukiteseka.
 
Kengen ndio ilitumiwa kuangamiza ii Kampuni, KPLC ni Network wako nayo ya kusambaza stima.
Hizi nugu haziwezi saidika. Unaondolewa mzigo wa kutafutia ng'ombe hay na thaara kazi yako ni kuuza tu maziwa na unashindwa? Zinasaidiwa na pesa na serikali ya kuboresha miundo msingi ya kufikisha umeme mashinani laking wanafanya nini? Wanaingiza ulafi wa hali ya juu na kununua transformer mbovu sasa hawana customer na hawawezi kurudi kwa serikali kusema waongezewe pesa.

1615902211677.png

View attachment 31924

Exactly. Hii inauma said
 
Kengen ndio ilitumiwa kuangamiza ii Kampuni, KPLC ni Network wako nayo ya kusambaza stima. Pesa yote iko Kengen since kuna nugu iliona wanyanganye KPLC rights za kuproduce stima. Sai wananunua stima kutoka kwa Kengen.

Mzee inafaa alinde boma otherwise ii vijana watageuza Serikal wakuache ukiteseka.
Hizi bonobo zilinunua transformer imbo ndio zikule pesa, they created parallel billing/ token generating systems so that they siphon money na uko hapa ukisema Kengen ndio inawangusha?! Kengen has been around since Narc govt n by then KPLC was performing well but when this thieving regime came, mambo ikaenda mrama.
 
This KPLC issue, leaves me with a bitter taste, yaani a company that has been enjoying near monopoly for decades can be brought down by greedy individuals and the corruption is termed as poor policy?! This country is f*cked up in all fronts.
Shows that only a free market economy works. Socialists take note
 
Shait...Did Kplc charge them?
Hapana but they had to stay a week bila power as the pads were requisitioned from Nairobi. Siku hizi every replacement part lazima iitishwe Nairobi. Hata transformer iki-blow be ready to stay two weeks to a month as memos fly back and forth explaining how it blew. But kama mna ushawishi mkubwa (kama sisi!) you might get a replacement in five days. :ROFLMAO:
 
Kengen ndio ilitumiwa kuangamiza ii Kampuni, KPLC ni Network wako nayo ya kusambaza stima. Pesa yote iko Kengen since kuna nugu iliona wanyanganye KPLC rights za kuproduce stima. Sai wananunua stima kutoka kwa Kengen.

Mzee inafaa alinde boma otherwise ii vijana watageuza Serikal wakuache ukiteseka.
Chief your arguement is akin to saying that since EABL brews beer their distributors can't make a profit only EABL can. If this isn't a ridiculous argument then I don't know what is.
KPLC's problem are similar to Rivatex, Mumias Sugar, Mountex, KMC, old KCC, ADC .... I could go on till the second coming
 
All parastatals must be converted into companies and managed as profit making entities.
Parastatals are government companies they are there to provide essential services and they should be profitable if well managed and they would help reduced the tax burden on citizens,think of safaricom if it was wholly government owned.
Tha'ts how the Chinese govt makes money with china engineering et al
 
Back
Top