iko kazi

Meria

Elder Lister
f2fc6172-565d-41a5-a9d9-fbb7f73af95c.jpg
 
Niko na shamba, "nimejenga nyumba", sasa naweza anza kujifunza hizi vitu kama kuendesha turela. Nikifika miaka ya kustaafu, naweza simulia hekaya kibao kwa wale waliishi kwa maofisi jumatatu hadi ijumaa, na kwenye vilabu wikendi.
 
Back
Top