Hapa wageni huwa hawaketi. Huwa wanapitia hapa...
View attachment 28958
Na utingishe kichwa uoshe ujinga ya boda boda stand pale county assembly.
Asante for welcoming committee.Tunakukaribisha na vigelele, nderemo na vifijo
View attachment 28961
Ni ya nini koma?Hope, nimekaribishwa?
Karibu Senate. Nyegeless place to be..
Poa poa bro. Niweke Paybill ama?Niaje guka wa wingroad?