Swahili is being taught and embraced all over the world.
i don't follow football that much ( i usually just see results and analysis from BBC Sports), also not a big fun of Barcelona (cost us Man Untd 2 Champions Leagues)
Messi- ako level yake. anajua kuchenga na pia ye huscore goals.
Eto - alkua anafunga mabao mingi pia. kua team moja na messi na end season kwa goals mko unyo kwa unyo sii kidogo.
Ronaldinho - Kwa kuchenga ata cijui tutamudiscribe aje. apo alkua on top kabsaaa. but kufung ndio shida. bao zake hazikua mob. kaa kuchenga inge kua na points, angekua anapatia Barca points kaa 50 per game. (ako same na Arsenali- kuchenga but hakuna mabao)