House Tour Ya Fadhela

Afadhali ni ishi hapa
FB_IMG_16206723227446190.jpg
 
enyewe Women make Men clean.
ambiwe na dame anakuja visit uone hio place itakua sparkling clean.
floor itakaa kaa imewekwa Epoxy
Haha it's true mimi every visit she brings something new sijui this wrappers ni ya drawers ,this spoons ya coffee oh his plastic ndio unafaa kuweka vijiko. Just looking around i have not bought 70% of the things here nimezipata tu zipo.
 
Back
Top